Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mrt makala 108
  • Yesu Atakomesha Umaskini

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yesu Atakomesha Umaskini
  • Habari Zaidi
  • Habari Zinazolingana
  • Yesu Atakomesha Vita
    Habari Zaidi
  • Fuata Kielelezo Cha Yesu Kwa Kuwahangaikia Maskini
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Yesu Atakomesha Uhalifu
    Habari Zaidi
  • Unaweza Kumwamini Nani?—Biblia Inasema Nini?
    Habari Zaidi
Pata Habari Zaidi
Habari Zaidi
mrt makala 108
Mikono ya mtu anayeomba.

panitan/stock.adobe.com

Yesu Atakomesha Umaskini

Yesu alipokuwa duniani, alionyesha kwamba anawapenda sana watu, hasa maskini na wenye matatizo. (Mathayo 9:36) Hata alidhabihu uhai wake ili kuwanufaisha wengine. (Mathayo 20:28; Yohana 15:13) Hivi karibuni, Yesu atathibitisha tena kwamba anawapenda watu kwa kutumia mamlaka na nguvu zake akiwa Mfalme wa Ufalme wa Mungu ili kukomesha umaskini duniani pote.

Biblia inatumia maneno yenye kupendeza kufafanua mambo ambayo Yesu atafanya:

  •  “Awalinde watu wa hali ya chini miongoni mwa mataifa, na awaokoe watoto wa mtu maskini.”​—Zaburi 72:4.

Tunaweza kuonyeshaje shukrani kwa mambo yote ambayo Yesu ametufanyia na ambayo atatufanyia wakati ujao? Njia moja ni kujifunza zaidi kuhusu “habari njema ya Ufalme wa Mungu,” ujumbe ambao Yesu alihubiri. (Luka 4:43) Soma makala yenye kichwa “Ufalme wa Mungu Ni Nini?”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki