Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb26 Machi kur. 4-5
  • Machi 16-22

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 16-22
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
mwb26 Machi kur. 4-5

MACHI 16-22

ISAYA 45-47

Wimbo 2 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. “Mimi Ni Mungu, na Hakuna Aliye Kama Mimi”

(Dak. 10)

Kikundi cha Waisraeli waliokuwa uhamishoni wakiondoka Babiloni.

Hakuna aliye kama Yehova (Isa 46:9; w20.06 5 ¶14)

Hakuna kinachoweza kumzuia Yehova kutimiza kusudi lake (Isa 46:​10, 11; cl 42 ¶14; it “Watu Walio Uhamishoni Warudi Kutoka Babiloni” ¶1)

Wale wanaotumaini miungu ya uwongo huvunjika moyo (Isa 46:​6, 7; w99 5/15 14 ¶18-19)

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Isa 46:10—Je, Yehova alijua “tangu mwanzo” kwamba Adamu na Hawa wangefanya dhambi? (w11 1/1 14 ¶2-3)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Isa 45:​1-11 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YA UMMA. Mweleze mtu ambaye si Mkristo kuhusu Ukumbusho. (lmd somo la 5 jambo kuu la 3)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Anzisha funzo la Biblia na mtu ambaye alikubali mwaliko wa Ukumbusho ulipomtembelea katika ziara iliyotangulia. (lmd somo la 9 jambo kuu la 5)

6. Kufanya Wanafunzi

(Dak. 5) lff somo la 19 utangulizi na jambo kuu la 1-3 (lmd somo la 11 jambo kuu la 3)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 38

7. Chanzo Pekee Tunachoweza Kutegemea Ili Kupata Msaada

(Dak. 7) Mazungumzo.

Tunapokabili matatizo, Chanzo pekee tunachoweza kutegemea ili kupata msaada ni Mungu wetu, Yehova.—Ebr 13:​5, 6.

Soma Zaburi 55:22. Kisha uzungumzie hali zifuatazo pamoja na wasikilizaji.

Mkusanyo wa picha: Ndugu na dada wanaokabili majaribu. 1. Ndugu aliyeshuka moyo akiwa ameketi nje kwenye ngazi, baada ya kupoteza kazi yake. 2. Ndugu aliyefungwa gerezani anahojiwa na askari. 3.Dada akiwa hospitali anasali kimyakimya kando ya mume wake mgonjwa aliye kitandani. 4. Wenzi wa ndoa wakiwa na mkazo baada ya kuokoka janga la asili.

Katika kila hali, andika jambo moja linaloonyesha kwamba tunamtumaini Yehova na lingine linaloonyesha kwamba anatutegemeza.

  • Tunapoteza kazi au tunakosa pesa za kutosha ili kutegemeza familia yetu

  • Wenye mamlaka wanazuia utendaji wetu

  • Tunakabili matatizo makubwa ya kiafya

  • Tunakabili msiba, kama vile janga la asili au kifo cha mpendwa wetu

8. Ripoti ya 2026 ya Idara ya Usanifu-Majengo na Ujenzi

(Dak. 8) Hotuba.

Onyesha VIDEO.

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) lfb somo la 70-71

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 148 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki