Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb26 Machi uku. 3
  • Machi 9-15

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 9-15
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
mwb26 Machi uku. 3

MACHI 9-15

ISAYA 43-44

Wimbo 63 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Unabii Ulioandikwa Karne Mbili Kabla ya Kutimizwa

(Dak. 10)

Wanajeshi wakitembea ili kuvuka kwenye mto Efrati ambao maji yake yamepungua, wanaingia kwenye malango ya jiji la Babiloni yaliyo wazi.

Mito ya Babiloni ‘ingekaushwa’ (Isa 44:27; gm 123-124 ¶16-17)

Mtawala Mwajemi aliyeitwa Koreshi angetenda kama “mchungaji” wa Mungu (Isa 44:28a; it “Koreshi” ¶7)

Koreshi angewatuma watu wa Mungu Yerusalemu ili kujenga upya jiji na hekalu (Ezr 1:​1-3; Isa 44:28b; it ““Koreshi” ¶17)


JAMBO LA KUFANYIA UTAFITI: Koreshi alitimizaje unabii ulio katika Isaya 45:​1-4?

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Isa 44:28—Tunajuaje kwamba Yehova hakuingilia uhuru wa kuchagua wa Koreshi? (w24.02 30 ¶8)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Isa 44:​9-20 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 1) NYUMBA KWA NYUMBA. Toa mwaliko wa Ukumbusho. (lmd somo la 4 jambo kuu la 3)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwalike mtu unayemfahamu kwenye Ukumbusho. (lmd somo la 3 jambo kuu la 4)

6. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwombe mwajiri wako ruhusa ya kuhudhuria Ukumbusho. (lmd somo la 6 jambo kuu la 3)

7. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Anzisha funzo la Biblia na mtu ambaye alikubali mwaliko wa Ukumbusho ulipomtembelea katika ziara iliyotangulia. (lmd somo la 7 jambo kuu la 4)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 69

8. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) lfb utangulizi wa sehemu ya 11 na somo la 68-69

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 137 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki