Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb26 Machi uku. 2
  • Machi 2-8

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 2-8
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
mwb26 Machi uku. 2

MACHI 2-8

ISAYA 41-42

Wimbo 8 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. “Usiogope”

(Dak. 10)

Yehova angemwinua “mtu kutoka mashariki” ambaye angewafanya watu waogope (Isa 41:​2, 5; ip-2 20 ¶10)

Waabudu wa Yehova hawangehitaji kuogopa (Isa 41:10; ijwbv makala ya 5 ¶4-7)

Yehova angewasaidia (Isa 41:13)


JAMBO LA KUTAFAKARI: Unabii ulio katika kitabu cha Isaya sura ya 41 unawanufaishaje Wakristo leo?—w16.07 18 ¶4-5.

Familia ikijifunza Biblia pamoja katika nchi ambayo kazi yetu imezuiwa. Baba anatazama dirishani huku mama akijifunza Biblia na mabinti zao wawili.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Isa 41:8—Yehova alionyeshaje kwamba Abrahamu alikuwa rafiki yake? (w01 10/1 20 ¶3)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Isa 42:​1-13 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwenye nyumba anakubali mwaliko wa Ukumbusho na anaonyesha upendezi. (lmd somo la 6 jambo kuu la 4)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwalike mtu wa ukoo kwenye Ukumbusho, na utumie jw.org kutafuta mahali ambapo tukio hilo litafanywa karibu naye. (lmd somo la 3 jambo kuu la 5)

6. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 5) Hotuba. ijwbq makala ya 60—Kichwa: Hofu ya Kifo—Unaweza Kuishindaje? (th somo la 1)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 19

7. Kampeni ya Ukumbusho Itaanza Jumamosi, Machi 7

(Dak. 5) Hotuba itolewe na mwangalizi wa utumishi. Eleza mipango ya kutaniko lenu ya kampeni, hotuba ya pekee, na Ukumbusho. Watie moyo wote waongeze utendaji wao mwezi wa Machi na Aprili. Wahubiri wanaweza kufanya upainia msaidizi kwa kutimiza takwa la saa 15 kwa mwezi.

8. Video ya Machi ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo

(Dak. 10) Mazungumzo.

Onyesha VIDEO. Kisha uliza maswali yanayojitokeza katika video.

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) lfb somo la 66-67

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 110 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki