Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb26 Machi kur. 14-15
  • Aprili 27–Mei 3

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 27–Mei 3
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
mwb26 Machi kur. 14-15

APRILI 27–MEI 3

ISAYA 56-57

Wimbo 12 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Tunafurahi Kwamba Yehova Ni Mungu Wetu

(Dak. 10)

Sanamu haziwezi kuwasaidia wale wanaozitegemea ili kupata msaada (Isa 57:13; ip-2 269 ¶14-16)

Watu wasiomjua Yehova hawana amani na wamegawanyika (Isa 57:20; w18.06 7 ¶16; it “Dunia” ¶21)

Hakuna amani kwa waovu (Isa 57:21; it “Amani” ¶3)

Dada wawili wakihubiri pamoja kwa shangwe.

JIULIZE, Kuwa na uhusiano mzuri na Yehova kunaboreshaje maisha yangu?

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Isa 56:​6, 7—Unabii huu unatimizwaje? (w07 1/15 10 ¶3; w06 11/1 27 ¶1)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Isa 56:​4-12 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mweleze mtu huyo kuhusu jambo ulilojifunza kwenye mkutano hivi karibuni. (lmd somo la 2 jambo kuu la 4)

5. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 5) Hotuba. ijwbq makala ya 90—Kichwa: Je, Ni Lazima Mtu Awe Katika Dini Fulani? (th somo la 16)

6. Kufanya Wanafunzi

(Dak. 4) lff somo la 19 jambo kuu la 4 (lmd somo la 11 jambo kuu la 3)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 58

7. Usiache Kamwe Kuzungumza Kumhusu Yehova

(Dak. 15) Mazungumzo.

Watu wasiomjua Yehova hawana mwongozo unaotegemeka, hawana kusudi lenye kuridhisha maishani, na hawana tumaini la kweli. Licha ya hilo, watu wengi wanaukataa ujumbe wa Ufalme bila kujua jinsi ambavyo ujumbe huo unaweza kuwasaidia. Zifuatazo ni baadhi ya sababu zinazotusaidia tusivunjike moyo au kukata tamaa hata wengine wanapokataa kutusikiliza.—Mhu 11:6.

  • Eneo letu hubadilika kila mara. Huenda wenye nyumba wasiopendezwa na ujumbe wetu wakahama, na watu wengine wanaohamia katika nyumba hizo wakawa tayari kusikiliza

  • Huenda mtu tofauti akazungumza nasi tunapotembelea tena nyumba hiyo. Mzazi mwenye umri mkubwa, mtoto ambaye sasa ni mtu mzima, mtu mpya anayeishi naye au mgeni, anaweza kufungua mlango

  • Watu hubadilika. (1Ti 1:13) Kadiri hali za ulimwengu zinavyozidi kuzorota au mtu anapokabili msiba anaweza kubadilika na kuwa tayari kusikiliza

  • Bidii yetu inaonyesha upendo wetu kwa Yehova.—Lu 6:45; 1Yo 5:3

Kisehemu kutoka kwenye video “Yehova “Hayuko Mbali.’ ” Dada akimpatia trakti mwanamke kwenye mkahawa.

Onyesha VIDEO Yehova “Hayuko Mbali.” Kisha waulize wasikilizaji:

  • Umejifunza masomo gani kuhusu kuwa na bidii katika huduma yetu?

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) lfb somo la 80-81

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 28 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki