Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb26 Machi kur. 11-16
  • Aprili 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
mwb26 Machi kur. 11-16

APRILI 13-19

ISAYA 52-53

Wimbo 18 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

[Picha kwenye jalada]

Yesu akienda kuuawa

1. Yesu Alionyesha Upendo Mkubwa!

(Dak. 10)

Yesu angedharauliwa (Isa 53:3; Mt 26:​67, 68; w10 11/15 7 ¶2)

Yesu angekubali kuteswa (Isa 53:7; ip-2 205 ¶25)

Upendo ulimchochea Yesu kuwa tayari kuteseka ili kufanya mapenzi ya Yehova na kuondoa dhambi zetu (Isa 53:​10-12; Yoh 14:31; 15:13)

Yesu amezungukwa na viongozi wa kidini huku uso wake ukiwa umefunikwa. Mmoja wa viongozi hao anampiga ngumi huku wengine wakimdhihaki.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Isa 52:11—Eleza jinsi amri hii ya kinabii ilivyotumika. (it “Vyombo” ¶2)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Isa 53:​3-12 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwalike mwenye nyumba ajifunze Biblia. (lmd somo la 4 jambo kuu la 4)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. Shiriki kweli kutoka kwenye nyongeza A ya broshua Wapende Watu. (lmd somo la 3 jambo kuu la 3)

6. Kufuatia Upendezi

(Dak. 5) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwalike mtu aliyehudhuria Ukumbusho ajifunze Biblia. (lmd somo la 8 jambo kuu la 3)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 20

7. Uwe Rafiki ya Yehova—Wonyesho Mkubwa Zaidi wa Upendo

(Dak. 15) Mazungumzo.

Kisehemu kutoka kwenye video “Uwe Rafiki ya Yehova​—⁠Wonyesho Mkubwa Zaidi wa Upendo.” Yesu akiwa Mfalme mbinguni.

Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Ni katika njia gani dhabihu ya Yesu ni zawadi?

  • Tunaweza kuonyeshaje kwamba tunathamini dhabihu aliyotoa?

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) lfb somo la 76-77

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 57 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki