Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w73 11/15 uku. 524
  • ‘Ni Haya Yesu Akiitwa Mungu’

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • ‘Ni Haya Yesu Akiitwa Mungu’
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1973
  • Habari Zinazolingana
  • Yesu Kristo Mwana Mpendwa wa Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
  • Ule “Utatu Uliobarikiwa”—je! Umo Katika Biblia?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
  • “Mungu wa Pekee wa Kweli” Ni Nani?
    Amkeni!—2005
  • Yesu Kristo—Maswali Yetu Yajibiwa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1973
w73 11/15 uku. 524

‘Ni Haya Yesu Akiitwa Mungu’

● Akiandika katika “The Expository Times”, Mwalimu wa dini Vincent Taylor anaarifu: “Injili zinaonyesha wazi kwamba ujuzi wa Yesu ulikuwa mchache, kwamba Yeye aliuliza maulizo kusudi apate ufahamu tu . . . kwamba Yeye alimpinga mtawala tajiri aliyemwita Yeye ‘Bwana Mwema’ kwa kumwuliza, ‘Kwa nini kuniita mwema? hakuna aliye mwema ila mmoja, ndiye Mungu.’ [Marko 10:18] Maulizo haya yamesababisha haya mara kwa mara na yataendelea kufanya hivyo ikiwa bila ya mageuzi Yesu ataitwa Mungu.” Lakini haitokezi ugumu wo wote mtu akilikataa fundisho la utatu na kuyaamini ambayo Yesu mwenyewe aliyasema, yaani, kwamba Mungu, Baba, ni mkuu kuliko Yesu Kristo.​—Yohana 14:28.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki