Ukurasa wa Pili
Uigizaji-Vitu—Pigo la Duniani Pote 3-10
Si noti tu bali pia hundi za malipo, kadi za mkopo, manyoya, saa, michoro, spea za ndege—ikiwa kitu hakipatikani kwa urahisi na ni chenye thamani, jihadhari, kwa kuwa mtu fulani mahali fulani atajaribu kukiigiza.
Mungu Aliacha Tumpate 11
Walimtafuta Mungu katika makanisa mengi lakini wakampata wakati tu walimtafuta mahali ambapo walionywa wasimtafute.
Je, Ungependa Kukutana na Fira? 16
Utajifunza mambo mengi ya hakika yenye kupendeza, lakini twapendekeza ukutane naye kwa umbali ulio salama—ni mwenye sumu sana.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
A. N. Jagannatha Rao, Trustee, Madras Snake Park Trust