Ukurasa wa Pili
Jeni ya Binadamu Kinachokufanyiza “Wewe” 3-10
Mradi wa Jenomu ya Binadamu ni kutafuta ilipo jenasi katika DNA. Je, hili litaongoza kwenye maponyo ya magonjwa yote ya binadamu?
Nahodha James Cook—Mvinjari Hodari wa Pasifiki 12
Safari zake zilitia ndani kusafiri katika maeneo yasiyojulikana, mara nyingi fuo zilizojaa miamba za Pasifiki.
Seminari za Kuboresha Mahusiano Kati ya Madaktari na Mashahidi wa Yehova 19
Mtaalamu mmoja wa magonjwa ya moyo aliyehudhuria alisisimuka na kushangaa.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Mchoro na John Weber/Dictionary of American Portraits/Dover