Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Julai uku. 8
  • Uwe Mnyenyekevu​—Epuka Kujisifu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uwe Mnyenyekevu​—Epuka Kujisifu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Alidumisha Ushikamanifu kwa Mungu Wake
    Tembea na Mungu kwa Ujasiri
  • Je! Wewe Humfuata Yehova Kikamili?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Wenye Furaha Ni Walio Wanyenyekevu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Mfuate Yehova kwa Moyo Wote
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Julai uku. 8

MAISHA YA MKRISTO

Uwe Mnyenyekevu​—Epuka Kujisifu

Kujisifu na kujigamba ni ishara ya kiburi na hakuwajengi wanaokusikiliza. Hivyo Biblia inasema: “Acha mtu mwingine akusifu, wala si kinywa chako mwenyewe.”—Met 27:2.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA UWE RAFIKI YA YEHOVA​—UWE MNYENYEKEVU, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Ni mambo gani ya kawaida ambayo watu hujisifia?

  • Caleb alikuwa akijisifu kuhusu jambo gani kwa rafiki yake?

  • Baba ya Caleb alimsaidiaje kuelewa umuhimu wa kuwa mnyenyekevu?

  • 1 Petro 5:5 inatusaidiaje kuwa wanyenyekevu?

Caleb tuzo kubwa huku akijisifu mbele ya rafiki yake aliyesimama chini.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki