Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w26 Mei uku. 32
  • Manaeni​—⁠Alitanguliza Mambo ya Kiroho

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Manaeni​—⁠Alitanguliza Mambo ya Kiroho
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2026
  • Habari Zinazolingana
  • Kutotukuza Elimu Mno
    Amkeni!—1994
  • Endelea Kuwa Macho Kiroho Katika Siku za Mwisho
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Je, Biblia Inapinga Elimu?
    Amkeni!—1998
  • Vijana Wamkumbukao Muumba Wao
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2026
w26 Mei uku. 32

MHUSIKA KATIKA BIBLIA

Manaeni—Alitanguliza Mambo ya Kiroho

Manaeni alikuwa miongoni mwa wale walioongoza mambo katika kutaniko la Antiokia la karne ya kwanza. ‘Alielimishwa pamoja na Herode mtawala wa wilaya.’ (Mdo. 13:1) Hivyo, Manaeni alikuwa na elimu ya juu na huenda alilelewa katika familia ya kitajiri.

Licha ya malezi yake, Manaeni aliamua kuwa Mkristo na kuliunga mkono kutaniko. Hakutumia elimu aliyokuwa nayo au uhusiano wake pamoja na watawala ili kujinufaisha mwenyewe. Badala yake, aliwatumikia ndugu zake.

Mfano wa Manaeni unaonyesha kwamba kumtumikia Yehova ni muhimu zaidi kuliko kufuatia umashuhuri katika ulimwengu huu. Kama Manaeni, tunapaswa kutanguliza utendaji wa kiroho, badala ya kufuatia utajiri au umashuhuri katika ulimwengu. (Mt. 6:33) Kwa kuongezea, ingawa tunathamini elimu, ‘tunahakikisha mambo muhimu zaidi’ na kuhakikisha kwamba utendaji mwingine katika ulimwengu huu hauingilii ibada yetu kwa Yehova.—Flp. 1:​9, 10.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki