Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb26 Januari kur. 14-16
  • Februari 23–Machi 1

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 23–Machi 1
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2026
mwb26 Januari kur. 14-16

FEBRUARI 23–MACHI 1

ISAYA 38-40

Wimbo 4 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mchungaji akiwa amembeba kwa upendo mwanakondoo mikononi mwake.

Mchungaji katika Israeli la kale akiwa amembeba kondoo mikononi mwake

1. “Atalitunza Kundi Lake Kama Mchungaji”

(Dak. 10)

Yehova ametuandalia Neno lake Biblia na kulihifadhi, ili kutuvuta kwake (Isa 40:8; w23.02 2-3 ¶3-4)

Anatujali kwa wororo (Isa 40:11; cl 70 ¶7)

Anatujua kibinafsi, naye anatusaidia kukabiliana na matatizo yetu (Isa 40:​26-29; w18.01 8 ¶4-6)

Wazee wawili wa kutaniko wakimtembelea dada na watoto wake wawili nyumbani kwao.

JAMBO LA KUTAFAKARI: Ufafanuzi wa mchungaji unaopatikana kwenye Isaya 40:11 unakufanya uhisije kumhusu Yehova?

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Isa 40:3—Maneno haya yalitimiaje katika karne ya kwanza W.K.? (ip-1 400 ¶7)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Isa 40:​21-31 (th somo la 11)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 2) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Tafuta fursa ya kumweleza mtu huyo kuhusu jambo ulilojifunza katika mkutano wa hivi karibuni. (lmd somo la 4 jambo kuu la 3)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 2) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Tafuta fursa ya kumweleza mtu huyo kuhusu kazi unayofanya ukiwa mwalimu wa Biblia. (lmd somo la 4 jambo kuu la 4)

6. Kufuatia Upendezi

(Dak. 2) NYUMBA KWA NYUMBA. (lmd somo la 7 jambo kuu la 5)

7. Kufanya Wanafunzi

(Dak. 5) lff somo la 18 muhtasari, ungejibuje, na lengo. Tumia makala kutoka kwenye sehemu ya “Chunguza Zaidi” ili kumsaidia mwanafunzi wako athamini upendo uliopo miongoni mwa Mashahidi wa Yehova. (lmd somo la 11 jambo kuu la 3)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 160

8. Ripoti ya Utumishi ya Kila Mwaka

(Dak. 15) Mazungumzo.

Baada ya kusoma tangazo kutoka kwenye ofisi ya tawi kuhusu ripoti ya utumishi ya kila mwaka, waalike wasikilizaji waeleze mambo mengine mazuri waliyoona kwenye Ripoti ya Mwaka wa Utumishi ya Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote ya 2025. Wahoji wahubiri waliotayarishwa mapema ambao walijionea mambo yenye kutia moyo katika huduma mwaka uliopita.

Mkusanyo wa picha: Ndugu na dada ulimwenguni pote wakishiriki katika huduma. 1. Dada anamfundisha Biblia mwanamke kwa kutumia kitabu “Furahia Maisha Milele! ” 2. Wenzi wa ndoa wakimsomea Biblia mwanamume katika huduma ya nyumba kwa nyumba. 3. Dada akimhubiria mwanamke. 4. Wenzi wa ndoa wakimsomea Biblia mwanamke katika huduma ya nyumba kwa nyumba. 5. Wenzi wa ndoa wakimfundisha Biblia mwanamume kwa kutumia broshua “Furahia Maisha Milele! ” 6. Dada akimwonyesha mwanamke video. 7. Wenzi wa ndoa wakimhubiria mwanamke kwa kutumia lugha ya alama pamoja na video.

Based on NASA/Visible Earth imagery

Katika mwaka wa 2025, watu wa Yehova waliendelea kukazia uangalifu huduma ya nyumba kwa nyumba na kazi ya kuongoza mafunzo ya Biblia

  • Ni mambo gani yenye kuvutia kutoka kwenye Ripoti ya Utumishi ya Mwaka wa 2025 ambayo ungependa kushiriki?

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) lfb somo la 64-65

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 161 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki