Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Novemba uku. 6
  • “Mkumbuke . . . Muumba Wako Mkuu Katika Siku za Ujana Wako”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mkumbuke . . . Muumba Wako Mkuu Katika Siku za Ujana Wako”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Mkumbuke Muumba Wako Mtukufu!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
  • Mwenye Hekima Alikuwa na Maana Gani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1979
  • Tumia Maisha Yako kwa Njia Ifaayo Kabisa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1998
  • Vijana Wamkumbukao Muumba Wao
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Novemba uku. 6

TREASURES FROM GOD’S WORD | MHUBIRI 7-12

“Mkumbuke . . . Muumba Wako Mkuu Katika Siku za Ujana Wako”

Mkumbuke Muumba wako Mkuu kwa kutumia nguvu zako ili kumtumikia ukiwa kijana

Kijana akisimama wima huku mzee akitumia mkongojo

12:1, 13

  • Vijana wengi wana afya nzuri na nguvu za kutimiza migawo migumu na inayosisimua

  • Vijana wanapaswa kutumia wakati na nguvu zao kumtumikia Mungu kabla ya kuzuiwa na matatizo ya uzee

Sulemani alitumia maneno ya kishairi kufafanua matatizo ya uzee

12:2-7

  • Wanawake wakiangalia nje ya dirisha

    Mstari wa 3: “Mabibi wanaochungulia madirishani wameona giza”

    Uwezo wa kuona unapungua

  • Wanawake wakiimba

    Mstari wa 4: “Mabinti wote wa wimbo hutoa sauti ya chini”

    Uwezo wa kusikia unapungua

  • Pilipili

    Mstari wa 5: “Pilipili hupasuka”

    Kupoteza hamu ya kula

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki