Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w88 9/1 uku. 32
  • Hakuna Malalamiko Zaidi Juu ya Ule Muziki

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Hakuna Malalamiko Zaidi Juu ya Ule Muziki
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
w88 9/1 uku. 32

Hakuna Malalamiko Zaidi Juu ya Ule Muziki

Majirani walikuwa wakilalamika juu ya ule muziki unaopigwa kupitia mfumo wa vikuza-sauti kwenye shule moja ya sekondari iliyo ya vidato vya chini katika Fukuoka Prefecture, Japani. Ndipo kijana mmoja alipopeleka shuleni kaseti za Kingdom Melodies. Baada ya kuzisikiliza, mwalimu alisema: “Huu ni muziki mzuri. Unaweza kuzipiga kanda hizo katika mfumo wa vikuza-sauti vya shule.” Tangu wakati huo wanafunzi, walimu, na hata majirani wamekuwa wakisikiliza hizo Kingdom Melodies kwa dakika 10 kila asubuhi na dakika 25 nyakati za mapumziko ya chakula cha mchana. Na kumekuwa hakuna malalamiko zaidi juu ya ule muziki!

Wewe pia unaweza kunufaika kutokana na hiyo mipangilio ya kimuziki inayoburudisha. Kila moja ya kaseti hizo, Kingdom Melodies 1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, na 8, ni Kshs. 32.00 (Tshs. 160.00) tu. Pokea kaseti zilizoorodheshwa chini kwa kujaza na kutupelekea hati yenye anwani iliyoambatanishwa.

Tafadhali mnipelekee, mkiwa mmelipia malipo ya posta, kaseti iliyotiliwa (zilizotiliwa) alama hapa chini. Kwa kila kaseti ambayo mimi nimeagiza, nimewapelekea ninyi Kshs. 32.00 (Tshs. 160.00) ili kulipia gharama.

◻ Kingdom Melodies 1 ◻ Kingdom Melodies 2 ◻ Kingdom Melodies 3 ◻ Kingdom Melodies 4

◻ Kingdom Melodies 5 ◻ Kingdom Melodies 6 ◻ Kingdom Melodies 7 ◻ Kingdom Melodies 8

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki