Hadithi za Biblia za Kuvutia Watoto
Tangu kilipotolewa katika Kiingereza mwaka 1978 na sasa katika Kiswahili, Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia kimekuwa kikivutia wachanga na watu wazima vilevile. Kina hadithi 116; picha kubwa 125 zenye rangi nzuri, kimefungwa kwa jalada lenye rangi dhahabu-manjano na kuandikwa jina kwa maandishi mekundu; na chapa kubwa zaidi. Bei ya kitabu hicho bila kutozwa malipo ya posta ni Kshs. 25/- (Tshs. 50/-, RWF 250) tu.
Tafadhali mnipelekee Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia (katika Kiswahili, Kifaransa, Kiingereza—onyesha lugha unayotaka) na zawadi ya kijitabu kimoja. Nimepeleka Kshs. 25/-(Tshs. 50/-, RWF 250).