Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w76 2/1 uku. 69
  • Uuaji wa Kitoto Kisichozaliwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uuaji wa Kitoto Kisichozaliwa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
w76 2/1 uku. 69

Uuaji wa Kitoto Kisichozaliwa

◆ Mwanamke wa Illinois alijeruhiwa tu wakati risasi ilipopiga tumbo lake. Lakini uchunguzi ulionyesha kwamba kitoto chake kisichozaliwa cha miezi tisa kiliuawa. Baraza ya mahakimu iliamua karibuni kwamba mtu aliyeifyatua bunduki alikuwa mwenye hatia ya uuaji. Basi, yawezaje kuwa kwamba wakati mimba ya kitoto kisichozaliwa inapotolewa, huo si uuaji?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2026)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2026 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki